Exodus 1:1-6

Waisraeli Waonewa

1 aHaya ndiyo majina ya wana wa Israeli ambao walikwenda Misri na Yakobo, kila mmoja akiwa pamoja na jamaa yake: 2Reubeni, Simeoni, Lawi na Yuda; 3Isakari, Zabuloni na Benyamini; 4 bDani na Naftali, Gadi na Asheri. 5 cWazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yusufu alikuwa tayari yuko Misri.

6 dBasi Yusufu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa,
Copyright information for SwhKC